Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Ulidanganywa ukaingia mkenge.
Mkemia atamaliza kesi, najua unaona aibu kuwa unapotaka kwenda kulala ndiko nilipoamkia mimi...hata hivyo una moyo.
Ningekuwa mtalaka wa jaydee ningesema huyo mtoto nimekoj...a sana
 
Mkemia atamaliza kesi, najua unaona aibu kuwa unapotaka kwenda kulala ndiko nilipoamkia mimi...hata hivyo una moyo.
Ningekuwa mtalaka wa jaydee ningesema huyo mtoto nimekoj...a sana
Huenda ulidanganywa kiongozi. Teh, eti unasema ulimfanya nini? We kijana acha uchokozi kwa kaka zako..teh!!
 
Mmmmmmmmh
 
Huenda ulidanganywa kiongozi. Teh, eti unasema ulimfanya nini? We kijana acha uchokozi kwa kaka zako..teh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Patience123 ndio mwenye siri za age zetu.
Usifikiri kwa vile nimekupisha ndo nimekuwa dogo au dhaifu, battle ndo linaanza chin kwa chin wala hutajua leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtani wangu kipenzi atakuja kumaliza kesi.
 
Hujanitaja mimi na kule kwa mwanamke nilikutaja kwanini? Niende nikatengue kauli kuwa sikumaanisha kuwa ni valentina wewe?
Ha haa jamani hata nisipokutaja jua navutiwa nawe lols...

Kanisani umeenda lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…