haaaa hata sikuambii maana hukawii kumweleza ulichoona.Akirudi uniambieee
Afu wewe... Hayo matani punguza bhanaa.Hata huna aibu, mbona wanifahamu vyema nilivyo tall, ntaheshimuje mtu mfupi kama tonge????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji173]
Hahahahaha hapana bwanaAu Naapee!?οΏΌ[emoji3] [emoji125] .
Aaah, hapo sawa mtani darling. Sasa tutaanza kuminya 'ignore button' kwa QUIGLEY. Naona kijana anakosa heshima kwa wakubwa zake.No dear... You are the only and One...
Wengine ni family members..
Ni kaka zangu, dada zangu na wadogo zangu.
Huwa nina kawaida moja, nikimpenda mtu huwa napenda kumwambia kuwa 'nakupenda' na hapo moyo wangu huhisi faraja.
Wewe ndiye "my heart taker" the sweetest part of my life...
Naogopa kusingiziwa[emoji12] [emoji12]mmmh @atto bana, unaogopa nini apo
Mkuu uniwie radhi sana huwa napenda utani kiasi, ikiwa nakuudhi plz nisameheSijui utaacha lini kudowea vya kaka zako!!
Hahahaha naogopaNitaje tu mama ata usiogope mwayaπ
Patience123, wew ni dadangu kipenzi na unanielewa vyema, plz mweleze shem asichukie kautani changu eeeWatu kama wewe ni lazima muwepo ili jamii ikamilike...
No wonder.
Aaah, hapo sawa mtani darling. Sasa tutaanza kuminya 'ignore button' kwa QUIGLEY. Naona kijana anakosa heshima kwa wakubwa zake.
Mkuu uniwie radhi sana huwa napenda utani kiasi, ikiwa nakuudhi plz nisamehe
MamaaaaNavutiwa na Ta-kibomboπ
Ndio kawaida ya hawa vijana toleo jipya...Aaah, hapo sawa mtani darling. Sasa tutaanza kuminya 'ignore button' kwa QUIGLEY. Naona kijana anakosa heshima kwa wakubwa zake.
πππππππππππππ[/QUOTE/]Mapigo ya mbio yanakwenda moyo
Kiongozi, hii ni chitchat wala usijali. Tunaongeza umri wa kuishi japo mvi za naneki zimeanza kuota[emoji12]Mkuu uniwie radhi sana huwa napenda utani kiasi, ikiwa nakuudhi plz nisamehe