Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Kiongozi, hii ni chitchat wala usijali. Tunaongeza umri wa kuishi japo mvi za naneki zimeanza kuota[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafurahi kusikia hivyo kwani wengine huwa sio waelewa
Cc p123
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafurahi kusikia hivyo kwani wengine huwa sio waelewa
Cc p123
Wala usijali, ila niachie Pat wangu teh teh. Ukisogeza mguu naukata.
 
Wala usijali, ila niachie Pat wangu teh teh. Ukisogeza mguu naukata.
Hapo sasa ndo unapokosea, mim huwa sitishiwi kwn ugomvi wangu hauishagi, ukitaka kuniweza niombe kiustarabu ndo ntakuelewa
 
[QUOTEbusuniveros, pohunipi49kichekoechako 224175"]why?notabuetupu
![/QUOTE]

Hata busu la hewani hunipi, kicheko chako adimu....basi tabu tupu.

Naona Heaven Sent anaanza kunipetipeti
 
Back
Top Bottom