Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Sasa inabidi unitambulishe kwa familia yako, naona shem darling kibao. Sitaki kuwa mshika mapembe...
No dear... You are the only and One...

Wengine ni family members..
Ni kaka zangu, dada zangu na wadogo zangu.
Huwa nina kawaida moja, nikimpenda mtu huwa napenda kumwambia kuwa 'nakupenda' na hapo moyo wangu huhisi faraja.

Wewe ndiye "my heart taker" the sweetest part of my life...
 
Kumbe kuna sweet, sweeter, na sweetest na wote wana mgao kwako eee
 
Hivi wewe huko kwenu hamuheshimu wakubwa? Au ndo familia zenu ni zile za kizazi cha kambale?

Respect to my hubby please!!
Hata huna aibu, mbona wanifahamu vyema nilivyo tall, ntaheshimuje mtu mfupi kama tonge????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji173]
 
Back
Top Bottom