Unawezahivi unaweza vutiwa na mtu ambae hujui ata anafananaje
hahahahhhUnaweza
Ila it is the worst experience kama uli set the bar very high, unaweza kutana na dissapointment, ila kama uli mfikiria wa kawaida tu ukimkuta wa ajab ajab hata haita kushangaza.
Ila dont try this at home [emoji23]
HahahaWatu wenye nyota zao wanatajwa sisi wenye reli tunakamyagwa
Atakuja tu wala usijali
Haha..
Aseeh ntauzaa Arusha mimi (in odii sound).
Kwemah lkn B
Duniani kuna maajabu, nafikiri hilo nalo lashika nafasi ya nane ya maajabu dunianihivi unaweza vutiwa na mtu ambae hujui ata anafananaje
hahahhah shang'aa na ww dear maajabu humu hayaishi watu wanavutiwa na avatar fake na uhandishi wa mtu teh tehDuniani kuna maajabu, nafikiri hilo nalo lashika nafasi ya nane ya maajabu duniani
Ndo ujue tunatofautiana, kumbe wanakufa wanaoza kwa avatarhahahhah shang'aa na ww dear maajabu humu hayaishi watu wanavutiwa na avatar fake na uhandishi wa mtu teh teh
hahhahah kwa avatar siku ya siku mnakutana unatamani ukimbie haya mambo ya jf acha tuNdo ujue tunatofautiana, kumbe wanakufa wanaoza kwa avatar
Sometimes yes...!hahhahah kwa avatar siku ya siku mnakutana unatamani ukimbie haya mambo ya jf acha tu
Teh teh tehhahhahah kwa avatar siku ya siku mnakutana unatamani ukimbie haya mambo ya jf acha tu
Ha haa unavutiwa tu shualina...hivi unaweza vutiwa na mtu ambae hujui ata anafananaje
Vale mm mpk nikuone kwanza ndio nitavutiwa [emoji23]Ha haa unavutiwa tu shualina...
Unaanza maandishi yake na ukifanikiwa kumuona basi utaenjoy mwenyewe. Kuna watu wanavutia humu wacha kabisa
Sasa utatakaje kuniona bila maandishi yangu kukuvutia bana[emoji87]Vale mm mpk nikuone kwanza ndio nitavutiwa [emoji23]
inabidi tuzoeane kwanza ujue [emoji23] yaan tuzoeaneee tu halaf tutumiane picha [emoji85] ndio tuonaneSasa utatakaje kuniona bila maandishi yangu kukuvutia bana[emoji87]