Naona unapeana ahadi na ganja gal wakati unajua mdogo wangu kafa na kuoza kwako.Usipate presha bwana.
Tunataka uishi ushuhudie navyomuambukiza mapacha wanaofanana
Nini Unataka shemejiNilipe ndiyo yaishe
Haya naisubiriHilo lisikupe shaka kama ukoo wenu umeamua kila ndugu analipwa mahari kivyake nitafanyaje sasa.
Ganja gal mshikaji wangu bwana hapo tumetaniana tu kiutu uzima. Mdogo wako naomba nisikujibu kama nampenda ila angalia matendo tuNaona unapeana ahadi na ganja gal wakati unajua mdogo wangu kafa na kuoza kwako.
Niambie mie dada mtu....unamtaka mdogo wangu au humtaki.
Nipe jibu moja.
Unajua tuna babu yetu mganga-mchawi kule kwetu Sumbawanga?
Wait....
Nitakupa Noah moja shemChochote kinacholipika shemeji
Ujikute tu!![emoji57] [emoji57] [emoji57]Wewe ngoja aondoke tu... nitakuoa kwa lazima bila kujali undugu
Shangazi we jitetee tu. Mie huko mwanzo hakunihusu, nimeona mlipovutiana tu.shangazi ungeanzia mwanzo nakumbuka kuna kitu aliongea rich kuwa hajatajwa sijui kitu kama hiko
Sasa yeye anapumuaje?B, nyumbani tu wazima mdogo wako mzima kabisa hamna neno kati yetu cha zaid anazidi kunipenda.
Kaniambia alikuwa anakutania ila moyo wake upo kwa Daby
Zimekaa kimtongozo mtongozo sana [emoji3][emoji3]Zimefanyaje mkwe?
Michepuko, vizuri sana.Siwezi mblock bwana labda tcra tu waamue kunigombanisha na mama watoto.
Au hii michepuko imenivizia nilipo lala?