Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Usipate presha bwana.
Tunataka uishi ushuhudie navyomuambukiza mapacha wanaofanana
Naona unapeana ahadi na ganja gal wakati unajua mdogo wangu kafa na kuoza kwako.
Niambie mie dada mtu....unamtaka mdogo wangu au humtaki.
Nipe jibu moja.
Unajua tuna babu yetu mganga-mchawi kule kwetu Sumbawanga?
Wait....
Tutakugeuza karoti...
 
Ganja gal mshikaji wangu bwana hapo tumetaniana tu kiutu uzima. Mdogo wako naomba nisikujibu kama nampenda ila angalia matendo tu
e3fe3aac11b42981ebcdb5b513be62e7.jpg
 
Back
Top Bottom