Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Hii maada inatakiwa iweke Ilani. Kwamba ni kwa wadada tu. La sivyo tunakaribisha uliberali. Kuna watu wapo kazini aisee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa kuna baadhi ya wanaume wa hapa jf wame wahonga warembo wa humu jf kwa njia ya pm ili waje wawataje hapa!

Nitakuwa nawaletea update karidi nitakavyo kuwa na zipata!
Nawewe ulitajwa....
Sasa sijui ulifanyaje huko pm
 
Back
Top Bottom