Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Teh teh...Yeaaaah......
Ila kwako sijaporwa bado....
Cc @quiger
Hivi siku hizi "Paka akitoka hurudi baadae?" au panya hutawala kama zamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh...Yeaaaah......
Ila kwako sijaporwa bado....
Cc @quiger
Nahrene yupo humu mkuu
😀😀😀😀😀Bora UKUTA ungekuwepo ningeenda kuandamana nipgwe mabomu na polisi nife kuliko kutotajwa mpaka sasa,inaaaauma kinoma 🙁
Labda wanajua wewe ni Tembohakuna ninayemvutia?
Weka kabisa na king'amuzi signal zisije zikakupita..Naskilizia tu
Kweli shemdarling....Sumbai ujue ndoa yako bado changa sana!!
Yap... Ya kale dhahabu... Hawakukosea hakika..Naona mnajikumbushia ujana wenu....
Mpenzi[emoji173] [emoji181] [emoji173] [emoji181] [emoji173] [emoji449] [emoji450] [emoji449] [emoji450]Weka kabisa na king'amuzi signal zisije zikakupita..
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] nimetengua kauliNikiachika ujue nawe unaachika.
Huo ndio mchezo....Kumbe yule alokutaja humpendi au
Kweli kabisa....Yap... Ya kale dhahabu... Hawakukosea hakika..
Nawewe ulitajwa....Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa kuna baadhi ya wanaume wa hapa jf wame wahonga warembo wa humu jf kwa njia ya pm ili waje wawataje hapa!
Nitakuwa nawaletea update karidi nitakavyo kuwa na zipata!
Yaani wewe ni mchocheziiiii.Huo ndio mchezo....
Watu walijitutumua kuwataja watu jana...
Leo ni bonge la usaliti...
Bora mimi sikutajwa, leo ningekuwa na deni hapa..
Reen16Mpenzi[emoji173] [emoji181] [emoji173] [emoji181] [emoji173] [emoji449] [emoji450] [emoji449] [emoji450]
Mkuu hivi id yako ya mwanzo inaitwaje???[emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo lakini amebadili ID
Wapi wew nilimpaka mafuta mafuta mpita njia na nikamtaja p123 mara nneHuo ndio mchezo....
Watu walijitutumua kuwataja watu jana...
Leo ni bonge la usaliti...
Bora mimi sikutajwa, leo ningekuwa na deni hapa..
No dear... Am still thinking loudly.....Yaani wewe ni mchocheziiiii.