Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Ngoja kwanza mzigo ukae sawa,naogopa kuokota dodo chini ya mnazi[emoji23] [emoji23]Ibua mzigo huo kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja kwanza mzigo ukae sawa,naogopa kuokota dodo chini ya mnazi[emoji23] [emoji23]Ibua mzigo huo kaka
Hapana Mkuu, huu ni wa moja kwa moja, ila umerahisishwa ! (Chezea watu Mkuu ! AKILI MU KUCHWA) lakini imekaa vizuri,Huu ni mtongozano wa indirect
Yaaani....shemdarling huyu daaahhahaa mchepukaji anaumia ukigusa mali yake teh
Yeah waiting for it.....Hahaha ndo unategea hiyo
Hahaha njiwa peleka salamuYaaani....shemdarling huyu daaah
Ila lazima nimsemee
Haha, halafu weekend asijetukosesha minuso buree...[emoji126]
Mnanisaliti hv hv!!Apigane tu teh
Unakimbia eti??[emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji100]
Huyu jamaa ni mganga wa kienyeji,uko tayari kufuga tunguli binti?Mshana jr
Sema fyuuuu nimuite komesha yako.Yaaani....shemdarling huyu daaah
Ila lazima nimsemee
Watu na watu wao....Aisee hili ni gundu au?
Post ya mwanzo hadi 490 sijaona jina langu, [emoji24][emoji24][emoji24]
Wacha nijaribu kupita tena baadae.
Nimetuliaa..dadashemej tatizo kiroho kinakataaaSema fyuuuu nimuite komesha yako.
Mbona wewe nimeona unachepuka mahali sijamuita mdogo wangu?Nimetuliaa..dadashemej tatizo kiroho kinakataaa
Mnanisaliti hv hv!!
Oooh hapo sawa!!Hapana mamie, tutamchangia tumzime haraka ili tuwahi kwenye mnuso.
Na'am, na QUIGLEY..Hahahahaha....we una watoto teyari
Lizzie yupo. Sema yupo bize si unajua tenaYeah waiting for it.....
Lizzie wap???,
Mi mara moja moja ila wewe daaahMbona wewe nimeona unachepuka mahali sijamuita mdogo wangu?
Oooh hapo sawa!!
Ulimsikia kaka yake Heaven Sent anavyoishukuru serikali kwa kuchagua jua kupatwa mbeya? Haki wamevunja ile rekodi yenu.