Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Jamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
 
Mjumbe wa amani au walisahau kukutaja kuleee...
Lakin sioni kama wanakosea labda wanakuzimia
Je ni kosa kupendwa?
Inatosha kumwambia asante na yakaishia hukohuko pm
Sheria za jf zinatutaka kutosema chochote cha pm jukwaani
VILEVILE chitchat haina usiriazi wowote mkuu, naona unabeba mambo kwa uzito...
Pole sana
 
Back
Top Bottom