Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,129
Maana nikimjua tu nadhani itakuwa sheeedar zaidi ya hapa.Endelea kutomjua....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana nikimjua tu nadhani itakuwa sheeedar zaidi ya hapa.Endelea kutomjua....
Sijakusoma hapoHajadeliva?
Poa wifi akeMambo wifi...[emoji4][emoji4]
Acha tuUmetishaa mkuu
Mmeo ana wivu eeh?Poa wifi ake
Hajajifungua?Sijakusoma hapo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kitambo sanaHajajifungua?
Hivi utaendelea kutingisha kiberiti hadi lini?Haswaa...
Nampendaa..
Hengera mkuu, kanda ya kaskazini wasikiapo kazaliwa mtoto husema, tutakuja kunywa MTORI MARA URU YA MTOTO[emoji1] [emoji1] [emoji1] kitambo sana
Sana... But nilimkamata ugoni..Mmeo ana wivu eeh?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tunalea sasaHengera mkuu, kanda ya kaskazini wasikiapo kazaliwa mtoto husema, tutakuja kunywa MTORI MARA URU YA MTOTO
Mke wangu una wivu sana, unataka nikisalimiwa kwa mkono na ke nikatae kamaSana... But nilimkamata ugoni..
Na leo na revenge
Hafai huyo....afu ana wivu sana aiseeSana... But nilimkamata ugoni..
Na leo na revenge
Nakupenda pia sana tu!Usimsikilize huyo mchochezi
Kaka ni hatua muhim sana.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tunalea sasa
Hongera sana. Tunasubiria huyo mtotoKaka ni hatua muhim sana.
Mimi nasubiria unajua shem lako lina mimba soon tutapata mtoto wa kike, basi linasumbua kwelikweli
Cc PATIENCE123
Nakupenda pia sana tu!
Mjumbe wa amani au walisahau kukutaja kuleee...Jamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
Wivu ni sehemu ya mapenzi, ciwez kuta mpenz wangu anapigwa busu ati nicheke....msumari wa kalio utamhusu mtuHafai huyo....afu ana wivu sana aisee