Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Sidhani kama itasaidia...nahisi hata huyo coordinator wa haka kadunia kesha kata tamaa na wewe...endelea kuropoka tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Azima yako imetimia
Ulitamani kusema na hawa watu sasa umeweza.
Inaelekea wewe ni kichwa
 
Ebu tuweni wa kweli, hivi mpaka sasa hivi hakuna ME aliyekwenda kwenye ule uzi pacha kutengua kauli?...yaani kudelete post aliyomkubali KE baada ya mambo humu kuwa ndivyo sivyo?....Mimi ni muumini wa sera za ki Jechalism.
 
Back
Top Bottom