Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Angalia bhna haraka kama utaniita maana hii baridi mwenyewe siiwezi
naangalia papaa mutombo au mzee wa calambora yaan leo umenishinda sijui unamiliki duka la vipodozi teh teh
 
Ikuje halafu sio utume yenye vipozi hasa vya kuniua binua sio umesimama kama walinzi wa bashite [emoji57]
mbona hueleweki unataka za kubinuka au kusimama kama walinzi wa bashite
 
Back
Top Bottom