Mwendelezo wa Danadana za Katiba Mpya

Thanks brother kwa andiko mujarabu[emoji1752][emoji1545][emoji1548]
 
Naunga mkono hoja. Kuhusiana na hili niliwahi kuandika uzi huu:

Kuharakisha Katiba Mpya tuunde 'Coalition of the Willing'
 
Naunga mkono hoja kwa 💯%

Watanzania tunahitaji Katiba ya Wananchi! Na siyo Katiba kwa ajili ya kuinufaisha CCM, au Chadema.

Tunahitaji Katiba ya kuinufaisha nchi na wananchi wake wote! Na siyo kikundi cha watu wachache, mfano wanasiasa, nk.

Uko sahihi, tatizo wananchi nao wako kimya sana, wamewaachia wanasiasa ndio wanadai katiba. Na ikitokea hao wanasiasa wasipoidai, basi katiba itabaki hii hii. Hapa kwa kulaumiwa ni wananchi na sio wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…