Kwa kudai Katiba mpya, I m ready. Wewe je?Upo tayari kuandamana?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kudai Katiba mpya, I m ready. Wewe je?Upo tayari kuandamana?!
Anza uhamasishaji; usisahau pia kutuelimisha ni mambo gani hiyo katiba mpya inatakiwa kubeba tuone kama yana maslahi tukuunge mkono.Kwa kudai Katiba mpya, I m ready. Wewe je?
Thanks brother kwa andiko mujarabu[emoji1752][emoji1545][emoji1548]Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni.
Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Aliyepo alikuja na Kikosi Kazi cha kupata KATIBA MPYA na mwishowe akasema maoni ya Kikosi Kazi si amri. Hivi majuzi Machi 8 kasema ataunda kamati ya KATIBA MPYA. Danadana zinaendelea!
Nyalali: Season 1
Kisanga: Season 2
Warioba: Season 3
Bunge la Katiba na Katiba Inayopendekezwa: Season 4
Mukandala na Kikosi Kazi: Season 5
Kamati ya KATIBA MPYA: Season 6
Nanihii (!?): Season 7
...tunasuburi. Mwishowe yote yatatupwa na kuendelea na seasons!
Ili tuje kupata KATIBA MPYA NA BORA tunahitaji chama mbadala, serikali mbadala na viongozi mbadala. CCM na upinzani uliopo tupa kule! Huo utakuwa ndio mwisho wa danadana na seasons zake.
Hamasa inaendelea, tutangauna na vyama vya siasa na makundi na asasi mbalimbali za kiraia kushinikiza ipatikane Katiba mpya Bora.Anza uhamasishaji; usisahau pia kutuelimisha ni mambo gani hiyo katiba mpya inatakiwa kubeba tuone kama yana maslahi tukuunge mkono.
Makofi mengi sana!Kwa kudai Katiba mpya, I m ready. Wewe je?
Naunga mkono hoja. Kuhusiana na hili niliwahi kuandika uzi huu:Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni.
Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Aliyepo alikuja na Kikosi Kazi cha kupata KATIBA MPYA na mwishowe akasema maoni ya Kikosi Kazi si amri. Hivi majuzi Machi 8 kasema ataunda kamati ya KATIBA MPYA. Danadana zinaendelea!
Nyalali: Season 1
Kisanga: Season 2
Warioba: Season 3
Bunge la Katiba na Katiba Inayopendekezwa: Season 4
Mukandala na Kikosi Kazi: Season 5
Kamati ya KATIBA MPYA: Season 6
Nanihii (!?): Season 7
...tunasuburi. Mwishowe yote yatatupwa na kuendelea na seasons!
Ili tuje kupata KATIBA MPYA NA BORA tunahitaji chama mbadala, serikali mbadala na viongozi mbadala. CCM na upinzani uliopo tupa kule! Huo utakuwa ndio mwisho wa danadana na seasons zake.
Yakiwa ya kulevya lakiniMadaraka matamu sana...
Katiba ya sasa inampa madaraka makubwa sana mtawala, lazima ikumbatiwe...Yakiwa ya kulevya lakini
Naunga mkono hoja kwa 💯%
Watanzania tunahitaji Katiba ya Wananchi! Na siyo Katiba kwa ajili ya kuinufaisha CCM, au Chadema.
Tunahitaji Katiba ya kuinufaisha nchi na wananchi wake wote! Na siyo kikundi cha watu wachache, mfano wanasiasa, nk.