Mwendesha Bodaboda, kama unapenda kuishi, pitia hapa!

Jumamosi hapo.mabwe.boda boda kaovatake. Mbele gqri linakuja.akaona hawezi kuliwahi akaingia mzima mzima upande wake.akateleza kwenye matope Lori likajakumpitia.wanafunzi watatu na yeye wanne.wqmerudi kwa mungu
 
Ongezea: Namba 3> anapo overtake ahakikishe ameangalia mwendokasi kwenye dashboard na kufahamu ni speed gani anayemwovatake anaenda nayo.

No 6. inaendana na namba 3 > hakuangalia speed ya counter part, kisha anakuja chomekea
 
Jumamosi hapo.mabwe.boda boda kaovatake. Mbele gqri linakuja.akaona hawezi kuliwahi akaingia mzima mzima upande wake.akateleza kwenye matope Lori likajakumpitia.wanafunzi watatu na yeye wanne.wqmerudi kwa mungu
Kiukweli kabisa maeneo ya mijini kwenye vurugu nyingi huwa napinga sana wanafunzi kutumia usafir wa boda boda,,wazazi mliangalie hili
 
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki!

1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa hutajua maamuzi dereva wa gari anayotaka kufanya
2. Usiendeshe katikati ya Barabara kwa kuwa magari yanakimbia sana hivyo unayazuia kuovertake - utagongwa
3. Usiovertake gari na kukaa mbele yake huku ukipunguza mwendo; utagongwa. Ukiovertake gari, ongeza mwendo au sogea kushoto kabisa mwa barabara
4. Usiendeshe bila vioo vya pembeni (side mirror mjini) kwani hutaona gari linalokuja nyuma- utagongwa!
5. Usiendeshe kwa kupanga msitari (moja nyuma ya nyingine) katikati ya Barabara. Mnaweza kuendesha hivyo ila iwe kushoto kabisa mwa barabara.
6. Usichomekee gari ukitegemea lisimame/lipunguze mwendo, sio magari yote yenye break za karibu kama pikipiki. Majuzi hapa mmoja kafa pale Msamvu/Moro kwa ujinga wake
7. Ukiona gari imesimama, usipite kabla ya kujua kwa nini imesimama; unaweza kuta imepisha gari nyingine iingie barabarani...utagongwa!
8. Usibebe mzigo unaopita sana pembeni mwa pikipiki (mbao, mabati, bomba nk) ukiguswa tu kidogo, utasokotwa kama pia, ukipona shukuru Mungu.

Muhimu:
1. Endeshea kushoto (pembeni kabisa) mwa Barabara muda wote, kumbuka magari yanakimbia sana kuliko Pikipiki hivyo ukiwa kushoto/pembeni, yataweza kukupita/kukukwepa bila shida.
2. Narudia tena - endeshea kushoto kabisa mwa Barabara... Pikipiki inaweza tu kuyapita magari kwenye msongamano, au Barabara mbovu za vumbi ila sio highway (Barabara kuu)
Mkuu,
Umewaza Nini kuanzisha hii thread

All in all ,
Mungu akupe mwisho MWEMA
 
Ni sheria ipi inayosema dereva pikipiki aendeshe pikipiki pembeni,halafu Watembea kwa miguu wapite wapi?.chombo chochote cha moto ni lazima kipite katikati ya barabara.

Nchi za Afrika madereva magari na bodaboda wote ni matatizo kwa kuwa Polisi hawasimamii sheria ipasavyo.
 
Najua unapigia gitaa mbuzi, lakini wenye kukuelewa na wakuelewe
 
Ni sheria ipi inayosema dereva pikipiki aendeshe pikipiki pembeni,halafu Watembea kwa miguu wapite wapi?.chombo chochote cha moto ni lazima kipite katikati ya barabara.

Nchi za Afrika madereva magari na bodaboda wote ni matatizo kwa kuwa Polisi hawasimamii sheria ipasavyo.
Wale waleeee
 
Wanao hawaelewi kabisa, na kila siku wanashuhudia wenzao wanavyopoteza maisha lakini hata kubadirika hawataki na ndio Kwanza huwa wanatafuta na mbwembwe za ziada 😂😂😂
😂😂😂😂jamani
 
Back
Top Bottom