Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hajasema ni sheria, kasema ni ushauri, ilq kama wewe unaona ni sawa kushindana na magari kwa barabara hizi za kiafrika basi kila la kheri shekhe.Ni sheria ipi inayosema dereva pikipiki aendeshe pikipiki pembeni,halafu Watembea kwa miguu wapite wapi?.chombo chochote cha moto ni lazima kipite katikati ya barabara.
Nchi za Afrika madereva magari na bodaboda wote ni matatizo kwa kuwa Polisi hawasimamii sheria ipasavyo.