Ni sheria ipi inayosema dereva pikipiki aendeshe pikipiki pembeni,halafu Watembea kwa miguu wapite wapi?.chombo chochote cha moto ni lazima kipite katikati ya barabara.
Nchi za Afrika madereva magari na bodaboda wote ni matatizo kwa kuwa Polisi hawasimamii sheria ipasavyo.