Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC aondolewa madarakani kwa kashfa ya Ngono

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
IMG_2827.jpeg

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.

Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
 
View attachment 3636557

Alishindwa kulidhibiti gegedo lake
 
Habar ni nn hapa ???
Nchi Ina watu wajinga sana hii.
Ndo mana wengine mnapiga picha Hadi vinyesi vyenu na kupost
 
View attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.

Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
Machawa mnapenda sana hizi habari; kwa hiyo akiondolewa mauaji ya Kisamia yanasahaulika siyo?
 
View attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.

Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
Kesi ya muuaji Samia ipo pale pale!
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
View attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.

Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
kumbe Karim Khan alikua anadai Benjamin Netanyahu akamatwe kwa kukiuka haki za binadamu huku yeye akiwa anadhulumu wafanyakazi wake kingono na bila ridhaa yao dah!

ama kwa hakika what goes around others comes around yourself 🐒
 
Cheza na Israeli taifa teule la Mungu.
 
Cheza na Israeli taifa teule la Mungu.
hawa akina Delilah ni watu wa kutumika kufanya carrier na character assassination za watu kirahisi na vibaya mno aise,

uskute huyo Delilah aliwekwa hapo kimkakati mno bila Samson Karim Khan kuelewa, dah!

kijitia kimbelembele na kujaribu kugusa urafiki wa USA na Israel ni kitu hatari zaidi kwa watu mashuhuri duniani 🐒
 
Tanzania tuta endorse jina la Wakili Mkuu wa Serikali Wakili Msomi Katuga kuchukua nafasi hiyo.

..wewe umeleta utani ktk suala hili.

..lakini kukumbusha tu Jaji Othman Chande aliwahi kuomba kazi kuwa Muendesha Mashtaka Mkuu wa ICC.

..Jaji Chande na Jaji Bensouda toka Gambia ndio waliokuwa finalist wa mchakato huo.

..Suala hilo lilipofika AU serikali ikaamua kum-support Jaji Fatma Bensouda kwasababu za kidiplomasia.

..Kwa hiyo inastaajabisha kwamba leo hii eti serikali ya Ccm inaipiga vita ICC.
 
Una ushahidi Serikali ya Tanzania inaipiga vita ICC? Hivi unajua Kuna Watanzania wangapi wanafanya kazi ICC?
 
View attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.

Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
Duh...! wabongo wachawi hatari!,wamemloga baba wa watu ili ...!
P
 
Back
Top Bottom