Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC aondolewa madarakani kwa kashfa ya Ngono

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC aondolewa madarakani kwa kashfa ya Ngono

Habari ni kuondolewa kwa mwendesha mashtaka mkuu wa ICC.
Kwamba icc haipo kaondoka nayo? Au hakuna anayekaimu ofisi? Siioni furaha yako kwenye habari hii bali huzuni yako kwa maana atakayeteuliwa kuendesha ofisi atakuwa hahongeki!
Ndio maana ziara za India zilikuwa haziishi ili kumwomba Mondi awaombee kwa bw. Khan aendelee kulificha faili lenu! Kwisha habari yenu!
 
Back
Top Bottom