Alishindwa kulidhibiti gegedo lakeView attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.
Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
Machawa mnapenda sana hizi habari; kwa hiyo akiondolewa mauaji ya Kisamia yanasahaulika siyo?View attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.
Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
Kesi ya muuaji Samia ipo pale pale!View attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.
Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
Tanzania tuta endorse jina la Wakili Mkuu wa Serikali Wakili Msomi Katuga kuchukua nafasi hiyo.Sawa huenda atakaekujq ataanza na wauqji wa Tanzania, mleta mada nafikiri una orodha yao?
Labda awe Wakili wa wapigwa miti kwenye makorido ya LumumbaTanzania tuta endorse jina la Wakili Mkuu wa Serikali Wakili Msomi Katuga kuchukua nafasi hiyo.
kumbe Karim Khan alikua anadai Benjamin Netanyahu akamatwe kwa kukiuka haki za binadamu huku yeye akiwa anadhulumu wafanyakazi wake kingono na bila ridhaa yao dah!View attachment 3636557
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake.
Khan ambaye ni mwendesha mashtaka wa tatu wa mahakama hiyo alichaguliwa mwaka 2021.
Dua la kukuLabda awe Wakili wa wapigwa miti kwenye makorido ya Lumumba
Cheza na Israeli taifa teule la Mungu.kumbe Karim Khan alikua anadai Benjamin Netanyahu akamatwe kwa kukiuka haki za binadamu huku yeye akiwa anadhulumu wafanyakazi wake kingono na bila ridhaa yao dah!
ama kwa hakika what goes around others comes around yourself 🐒
Alikua busy kunyonya binti maziwa...Huyo mzee zamwamwa ... Tanzania tumeuwawa amezubaa tuu hapa
hawa akina Delilah ni watu wa kutumika kufanya carrier na character assassination za watu kirahisi na vibaya mno aise,Cheza na Israeli taifa teule la Mungu.
Tanzania tuta endorse jina la Wakili Mkuu wa Serikali Wakili Msomi Katuga kuchukua nafasi hiyo.
Una ushahidi Serikali ya Tanzania inaipiga vita ICC? Hivi unajua Kuna Watanzania wangapi wanafanya kazi ICC?..wewe umeleta utani ktk suala hili.
..lakini kukumbusha tu Jaji Othman Chande aliwahi kuomba kazi kuwa Muendesha Mashtaka Mkuu wa ICC.
..Jaji Chande na Jaji Bensouda toka Gambia ndio waliokuwa finalist wa mchakato huo.
..Suala hilo lilipofika AU serikali ikaamua kum-support Jaji Fatma Bensouda kwasababu za kidiplomasia.
..Kwa hiyo inastaajabisha kwamba leo hii eti serikali ya Ccm inaipiga vita ICC.
Duh...! wabongo wachawi hatari!,wamemloga baba wa watu ili ...!View attachment 3636557