Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake.

Marekani na nchi za Ulaya unafiki wao umeishafahamika Israel wanafanya mauaji ya kimbari duniani yote inaona hawataki Netanyahu na wenzake wao kundi moja na kina

Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu, Jean-Jacques Mangenda Kabongo, Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,

View: https://x.com/suppressednws/status/1792738821043274090?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanafiki sna hao. Lkn hivi sasa dunia nzima ishawajua. Uchaguzi 2025 Chadema wataipigiwa kura mpaka wajute halafu tusikie wanasemaje hao Magharibi?
 
Mafuasi ya allah shetani bhana leo mahakama ya makafiri imekuwa bora sn mpk mnaianzshia thread kila dk ksa netanyahu eeh, vp wale viongoz wa hamas waliochanzo cha israel kuvamia gaza? allah ndiye shetani.
Hasira za nini wewe mgalatia? Je unaweza tueleza kidogo hayo yote ulioandika yana uhusiano gani na topic iliyopo?
 
Analialia nini sasa?

Hakujua ICC ina Wenyewe 🐼
Sio uoga bali anaeleza uhalisia na kile anachokabiliana nacho.
Hii vita ya safari hii ya Hamas v Israel imeibua mengi sana.
Ambayo mengi yanaiteteresha UN na walezi wake.
Inapoelekea UN inaenda kuwa kama League of the Nations.
Unadhani dunia ikisikia kuhusu hii video ita react vipi!?
Yani hapo sidhani kama kuna kiongozi wa Africa atakayeamini chombo chochote cha kimataifa kinachohusiana na USA/UK.
 
Mafuasi ya allah shetani bhana leo mahakama ya makafiri imekuwa bora sn mpk mnaianzshia thread kila dk ksa netanyahu eeh, vp wale viongoz wa hamas waliochanzo cha israel kuvamia gaza? allah ndiye shetani.
Ona huyu msenge anaongea nini!
Hapa yanajadiliwa masuala ya kidiplomasia sio ya kidini.
Jaribu kukua wewe mla kwa dada mlala kwa shemeji.
 
Wanaukumbi.

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake.

Marekani na nchi za Ulaya unafiki wao umeishafahamika Israel wanafanya mauaji ya kimbari duniani yote inaona hawataki Netanyahu na wenzake wao kundi moja na kina

Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu, Jean-Jacques Mangenda Kabongo, Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,

View: https://x.com/suppressednws/status/1792738821043274090?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

teh
 
Yaani uwakamate kina Jean-Pierre Bemba na Charles Taylor kwa mauaji ya kimbari kisha umuache Netanyahu huu si utakuwa ujinga wa mwisho, hawa Wazungu mapunguani sana wanawagombanisha Waafrica kwa maslahI yao kisha wanafunga viongozi wao ambao wametumia.
 
Wanaukumbi.

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake.

Marekani na nchi za Ulaya unafiki wao umeishafahamika Israel wanafanya mauaji ya kimbari duniani yote inaona hawataki Netanyahu na wenzake wao kundi moja na kina

Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu, Jean-Jacques Mangenda Kabongo, Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,

View: https://x.com/suppressednws/status/1792738821043274090?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ni ukweli kabisa. Hamas wachokoze, wakipigwaiwe noma
 
Back
Top Bottom