Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Sio uoga bali anaeleza uhalisia na kile anachokabiliana nacho.
Hii vita ya safari hii ya Hamas v Israel imeibua mengi sana.
Ambayo mengi yanaiteteresha UN na walezi wake.
Inapoelekea UN inaenda kuwa kama League of the Nations.
Unadhani dunia ikisikia kuhusu hii video ita react vipi!?
Yani hapo sidhani kama kuna kiongozi wa Africa atakayeamini chombo chochote cha kimataifa kinachohusiana na USA/UK.
Sahihi kabisa......

Hii vita ya Gaza imeonyesha hizi Sheria za kimataifa ni kwa ajili ya nchi kadhaa tu
 
Back
Top Bottom