Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Sahihi kabisa......Sio uoga bali anaeleza uhalisia na kile anachokabiliana nacho.
Hii vita ya safari hii ya Hamas v Israel imeibua mengi sana.
Ambayo mengi yanaiteteresha UN na walezi wake.
Inapoelekea UN inaenda kuwa kama League of the Nations.
Unadhani dunia ikisikia kuhusu hii video ita react vipi!?
Yani hapo sidhani kama kuna kiongozi wa Africa atakayeamini chombo chochote cha kimataifa kinachohusiana na USA/UK.
Hii vita ya Gaza imeonyesha hizi Sheria za kimataifa ni kwa ajili ya nchi kadhaa tu