Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Mafuasi ya allah shetani bhana leo mahakama ya makafiri imekuwa bora sn mpk mnaianzshia thread kila dk ksa netanyahu eeh, vp wale viongoz wa hamas waliochanzo cha israel kuvamia gaza? allah ndiye shetani.
Mambo ya Allah yametoka wapi? Hii mahakama imewafunga waafrica wengi kina
Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidรจle Babala Wandu,
Jean-Jacques Mangenda Kabongo,
Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga, kwa sababu gani? Jibu hoja kama unataka mada za dini nenda jukwaa la dini.
 
Sasa kama ni muoga alikuwa na kiherehere Cha nini?
Nimeagiza kurudishwa nyumbani mara moja kwa mabalozi wa Israel nchini Ireland na Norway kwa mashauriano kwa kuzingatia maamuzi ya nchi hizi kutambua taifa la Palestina.

Ninatuma ujumbe ulio wazi na usio na shaka kwa Ireland na Norway: Israeli haitakaa kimya mbele ya wale wanaohujumu uhuru wake na kuhatarisha usalama wake.

Uamuzi wa leo unatuma ujumbe kwa Wapalestina na ulimwengu: Ugaidi unalipa. Baada ya shirika la kigaidi la Hamas kutekeleza mauaji makubwa zaidi ya Wayahudi tangu mauaji ya Holocaust, baada ya kufanya uhalifu mbaya wa kingono unaoshuhudiwa na ulimwengu, nchi hizi zilichagua kuwazawadia Hamas na Iran kwa kulitambua taifa la Palestina.

Hatua hii potofu ya nchi hizi ni dhuluma kwa kumbukumbu ya wahasiriwa wa 7/10, pigo kwa juhudi za kuwarudisha mateka 128, na kuongezwa kwa Hamas na wanajihadi wa Iran, ambayo inadhoofisha fursa ya amani na kuhoji haki ya Israeli kujilinda.

Israeli haitakaa kimya - kutakuwa na matokeo mabaya zaidi. Ikiwa Uhispania itafuata nia yake ya kulitambua taifa la Palestina, hatua sawa na hiyo itachukuliwa dhidi yake.

Upumbavu wa Ireland-Kinorwe hautuzuii; tumedhamiria kufikia malengo yetu: kurejesha usalama kwa raia wetu, kubomoa Hamas, na kuwarudisha mateka nyumbani. Hakuna sababu zaidi ya hizi.



View: https://x.com/israel_katz/status/1793174400151249194?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mafuasi ya allah shetani bhana leo mahakama ya makafiri imekuwa bora sn mpk mnaianzshia thread kila dk ksa netanyahu eeh, vp wale viongoz wa hamas waliochanzo cha israel kuvamia gaza? allah ndiye shetani.


Your browser is not able to display this video.
 
Norway ni sawa na Zanzibar tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naripoti kutoka Uyole mimi na muisrael mweusi pia ni mlokole nipo radhi kufa niitetea Israel taifa teule sisi taifa letu la maounguani.
Punguani ni yule aliyetunguliwa Kwenye helicopter ya mwaka 1971 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐ŸŒŸ
 
Norway ni sawa na Zanzibar tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Muisrael mweusi Rombo anatoa tamko akiwa Rombo.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธBREAKING: IRELAND KUITAMBUA PALESTINE

Ireland na mataifa mengine mawili ya Umoja wa Ulaya yatalitambua rasmi Jimbo la Palestina kesho.

Mazungumzo kati ya Taoiseach(PM) wa Ireland Simon Harris na Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez yaliripotiwa kupelekea uamuzi huo.

Norway, Malta, na Slovenia pia zinazingatia kutambuliwa, kwani Israel inaonya kuwa hatua hii inaweza kusababisha ugaidi zaidi na ukosefu wa utulivu.

Vyanzo: Irish Independent


View: https://x.com/marionawfal/status/1793072686278615220?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ebrahim Raisi angekodi Chopa za akina Raila hapo Nairobi ๐Ÿ˜€

Made in USA 1971 ๐Ÿผ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ