Mwendo Kasi Msimbazi ni mateso makubwa sana

Wadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Watanzania hatuiwezi kabisa hiyo kazi. Wapewe wawekezaji waiendeshe.
 
Wadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Nyie simlifurahia wakat daladala zetu zinafukuzwa njia hiyo
 
Wadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Jioni kusubiria mwendokasi msimbazi hujipendi...
Unatakiwa upande zinazoelekea Kamata ili ukapange foleni kule
 
Serikali ya Tanzania inajua kuiba kura tu, mambo madogo Kama haya yanamshinda. Very stupid
 
CCM
Wadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Hoyeeee
 
Changamoto mabasi haya ya kichina ni mabovu sana hayana uvumilivu mengi yamepaki yameharibika
 
Serikali ya Tanzania inajua kuiba kura tu, mambo madogo Kama haya yanamshinda. Very stupid
Wapo bize kudukua akaunti zetu wakihofia mawazo yetu. Na wamenunua mitambo ya kuhack mawasiliano ya raia.

Lakini issue zinazohusu kero za raia hawajigusi
 
Back
Top Bottom