Watanzania hatuiwezi kabisa hiyo kazi. Wapewe wawekezaji waiendeshe.Wadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Nyie simlifurahia wakat daladala zetu zinafukuzwa njia hiyoWadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Jioni kusubiria mwendokasi msimbazi hujipendi...Wadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Wapewe Waarabu tuWatanzania hatuiwezi kabisa hiyo kazi. Wapewe wawekezaji waiendeshe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mubongo kitu anaweza endesha kwa ufanisi ni wizi na porojo za mipira.
HoyeeeeWadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Wapo bize kudukua akaunti zetu wakihofia mawazo yetu. Na wamenunua mitambo ya kuhack mawasiliano ya raia.Serikali ya Tanzania inajua kuiba kura tu, mambo madogo Kama haya yanamshinda. Very stupid