Mwendokasi bado shida , Kimara/Gerezani , Maji nalo jipu

Mwendokasi bado shida , Kimara/Gerezani , Maji nalo jipu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Pamekua na magari machache ya Kimara Gerezani na Mbezi Gerezani tofauti na tunavyo aminishwa kwa picha za mabasi mtandaoni.

Hali ya usafiri ni Mbayaaaaa, Mbezi Kimara hali ya Maji ni Mbayaaaaa.
MAANDAMANO yanayofuata ni juu ya HUDUMA ZA JAMII wala sio wizi wa kura CCM
 
Badala ya kujadili maji.
Mbunge Asenga anamjadili wenu na Abdul bungeni.
Aibu hii mpaka lini hapo Lumumba?
 
Tumeshauza dhahabu tutanunua mabasi ya mwendokasi matatu ,Qatar watatupa matatu,China manne,Dp world watatupa mawili.
Idadi hiyo ya mabasi inatosha sana kutatua changamoto ya usafiri.
Samia asilimia 98 za kura!
 
Back
Top Bottom