mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,155 Reaction score 2,704 Jan 30, 2026 #1 Pamekua na magari machache ya Kimara Gerezani na Mbezi Gerezani tofauti na tunavyo aminishwa kwa picha za mabasi mtandaoni. Hali ya usafiri ni Mbayaaaaa, Mbezi Kimara hali ya Maji ni Mbayaaaaa. MAANDAMANO yanayofuata ni juu ya HUDUMA ZA JAMII wala sio wizi wa kura CCM
Pamekua na magari machache ya Kimara Gerezani na Mbezi Gerezani tofauti na tunavyo aminishwa kwa picha za mabasi mtandaoni. Hali ya usafiri ni Mbayaaaaa, Mbezi Kimara hali ya Maji ni Mbayaaaaa. MAANDAMANO yanayofuata ni juu ya HUDUMA ZA JAMII wala sio wizi wa kura CCM
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,499 Reaction score 25,295 Jan 30, 2026 #2 Badala ya kujadili maji. Mbunge Asenga anamjadili wenu na Abdul bungeni. Aibu hii mpaka lini hapo Lumumba?
Badala ya kujadili maji. Mbunge Asenga anamjadili wenu na Abdul bungeni. Aibu hii mpaka lini hapo Lumumba?
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 4,253 Reaction score 5,789 Jan 30, 2026 #3 Tumeshauza dhahabu tutanunua mabasi ya mwendokasi matatu ,Qatar watatupa matatu,China manne,Dp world watatupa mawili. Idadi hiyo ya mabasi inatosha sana kutatua changamoto ya usafiri. Samia asilimia 98 za kura!
Tumeshauza dhahabu tutanunua mabasi ya mwendokasi matatu ,Qatar watatupa matatu,China manne,Dp world watatupa mawili. Idadi hiyo ya mabasi inatosha sana kutatua changamoto ya usafiri. Samia asilimia 98 za kura!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 1, 2026 #4 Poleni sana... Cc: Mahondaw