instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Mimi watu walioruhusu hiz bajaji na Bodaboda ndo walikosea kabisa.Na aliyeruhusu bajaj kuja mjini ndiyo kaharibu kabisa. Angalia zinavyopaki ovyo na kusababisha msongamano barabarani. Hizi zilitakiwa ziishie bara bara za mitaani tu siyo trunk roads. Ukizingatia ukosefu wa ustarabu kwa madereva wa hivyo vibajaj huwezi kuelewa kwa nini vinaruhusiwa kuingia mjini kati
Siku hiz Dar haina tofauti na dhaka na india huko.
Yaani kuua mradi wa mabasi, basi linaloweza kubeba watu 100+ na kuruhusu bajaji/bodaboda inayobeba watu maximum wanne. Halafu utegemee umalize foleni Dar?