Mwendokasi imekuwa ni kero sana

Mwendokasi imekuwa ni kero sana

elishabalele

New Member
Joined
May 23, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili.

Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia.

Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.
 
Back
Top Bottom