E elishabalele New Member Joined May 23, 2024 Posts 1 Reaction score 0 May 23, 2024 #1 Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili. Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia. Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.
Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili. Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia. Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.