Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kumiliki gari sidhani kama ndio kutafanya usiwahi kutumia tena usafiri mwingine kuna dharura za hapa na pale, watu wengi wanamiliki magari lakini siku moja moja kwa sababu mbalimbali huwa wanapanda usafiri wa umma, kuna mahali daladala huwa hazijazi sana na siyo za kugombaniausafiri huo ulishakuwa maji taka siku nyingiiii yani kimsingi nunua gari tu maana ukikimbilia kwenye daladala ndiobalaa kabisaaaaa Bongo hamna kitu kinakwenda smoothly
Tatizo la watanzania! Huoni tatizo siyo? Pole!acha kupanic kwa mambo madogo madogo kama hivi haya mambo yapo katika taasisi zote hospital, TRA, Bandarini, Mashuleni. I bet hata wewe ungekuwa na nafasi sehemu huwezi acha damu tako iteseke.
siungi mkono lakini
Hawaruhusu kupiga picha hata hivyo.Serikali ilivyo na akili zake zisizojulikana, muda mfupi ujao utaona vibao vya kukataza kupiga picha vituo vya mwendokasi vimebandikwa.
Mashine za kukagua ticket hazijaharibika lakini zimesimamishwa mwaka wa 6 huu.
Nchi imejaa walaanifu hii kha
Lakini ijulikane wazi utaratibu upo wazi na nchi nyingine mtu anawajibishwa kufanya kinyume na utaratibu. Siku hizi smartphone lakini watu wanashindwa kurekodi ikiwa hivyo hakuna mfanyakazi wa huduma ya serikali atafanya kinyume na wakati anajua wananchi wanamrekodi hapo kukiwa na ushahidi mtu hawezi kutoa favours au ujinga wakati yeye ndie atakaye jibu malalamiko. Sio kwamba nchi nyingine ni malaika eti wanafanya kila kitu vizuri lakini wananchi wanajua ukishakuwa na ushahidi sana sana was video huyo mfanyakazi au kampuni inawajibishwa kisheria ambazo hata Tanzania na nchi za Africa zipo. How many times serikali inaingilia kati kitu kwasababu kuna ushahidi wa wazi(video evidence) sio tu tetesi lakini watu bado wanashindwa kujua kuwa sasa simu ni kitu muhimu kupata haki.Mmh Africa hatari San, mtu anatetea usawa na haki lakin anaonekana snitch...ivi Africa matendo haya mnaona ya kawaida kweli, mtu kunyimwa haki yko
Hii si kweli. Sanasana ungemshauri asingekuja kulalamika hapa. Kwa umoja wao wangemaliza hiyo kesi hapohapo. Wanawapiga ngumi hao wahudumu na hao ndugu zao.acha kupanic kwa mambo madogo madogo kama hivi haya mambo yapo katika taasisi zote hospital, TRA, Bandarini, Mashuleni. I bet hata wewe ungekuwa na nafasi sehemu huwezi acha damu tako iteseke.
siungi mkono lakini
asanteTatizo la watanzania! Huoni tatizo siyo? Pole!
unazungumzia utawala na sheria ktk nchi gani? kama mambo makubwa hayafati utawala bora na sheria yatakuwa haya ya UDA??Hii si kweli. Sanasana ungemshauri asingekuja kulalamika hapa. Kwa umoja wao wangemaliza hiyo kesi hapohapo. Wanawapiga ngumi hao wahudumu na hao ndugu zao.
Shida yetu watz ni maboya. Unakuta wengi wao wanaumia chinichini. Hawawezi kuondoa uovu kwa mkono wao.
Hii hoja ya kuita hilo ni jambo dogo halina nafasi kwenye utawala wa sheria. Hata mimi nikifanya hivyo kitengoni kwangu nipigwe hadi nitoke meno.