Sasa utafanyaje mkuu!Ni Dhambi kutamani kuvunja Sheria.Fikiria Kuna wazee wa umri wa babu yako wapo kwenye foleni dakika arobaini halafu dereva anapandisha demu wake tena kupitia mlango wake na anakaa nyuma ya dereva stori ziendelee
Ndio,hutanyamazia kukosa maadili na hekima. Lakini,hata Marekani na nchi zote zinazodai zina demokarasia,hayo mambo na wao,wanayo. Ingelikuwa angalau unamlalamikia mtu furani na kweli anatekeleza. Leo hii ukisema,utaambiwa tunalishughulikia. Na biashara imeisha hivo.
Nadhani kama umeona mabasi yalohalibikia vituoni,na hayawezi kurudi barabarani, ndo utajua thamani yako. Serikali imenunua magari kukusaidia wewe,wahuni wanauza chuma chakavu,kwa kilo. Af leo kukaa kwako foleni ndo kuwaumize vichwa!!