DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni Dhambi kutamani kuvunja Sheria.Fikiria Kuna wazee wa umri wa babu yako wapo kwenye foleni dakika arobaini halafu dereva anapandisha demu wake tena kupitia mlango wake na anakaa nyuma ya dereva stori ziendelee
Sasa utafanyaje mkuu!
Ndio,hutanyamazia kukosa maadili na hekima. Lakini,hata Marekani na nchi zote zinazodai zina demokarasia,hayo mambo na wao,wanayo. Ingelikuwa angalau unamlalamikia mtu furani na kweli anatekeleza. Leo hii ukisema,utaambiwa tunalishughulikia. Na biashara imeisha hivo.
Nadhani kama umeona mabasi yalohalibikia vituoni,na hayawezi kurudi barabarani, ndo utajua thamani yako. Serikali imenunua magari kukusaidia wewe,wahuni wanauza chuma chakavu,kwa kilo. Af leo kukaa kwako foleni ndo kuwaumize vichwa!!
 
Magari yote yanakuja kupakiza watu walio kwenye Mpango/foleni,inakuwaje yake na watu walioingia kinyume Cha utaratibu?
Halafu ni madereva wote,na wafanyakazi wote,wala sio mmoja mmoja.
 
Ukiona hivyo,ujue ni mfumo mbovu. Sawa,hakuna weupe usio na madoa. Ila,kitenfo hicho kingesimamiwa na mwanajeshi muone kama mambo yasingeenda sawa. Hata kama madereva wote wangeajiliwa wanajeshi wastaafu,poa tu. Gari likija,linajazwa linaondoka,lingine hivo hivo. Mda wa kusubiria utapungua. Af,unakuta gari linatoka mbezi linaenda gerezani tupu. Hata lisipopakia kila kituo,ikajulikana vituo viwili au vitatu litasimama, si linapunguza watu kuliko kwenda tupu?!
Kosa ni la serikali lakini. Kuna kipindi niliona Waziri mkuu Majaliwa akimpa vidonge vyake mtu alieagiza hayo magari akashindwa kuyatoa TRA.

Huyu baba angepewa sapoti,kuna badhi ya mambo leo hii yangekuwa yamebaki historia,moja wapo likiwa hili.
 
Si mnafurahia huduma zao nyie
Licha ya kupakiwa na kujazwa kama
Nini sijui

Ova
Sasa wafanyeje mkuu! Unajua,unapokataa plan A ya mtu,na wewe uwe na plan B yako. Unachokifuata kule ni hilo neno : Kasi vinginevyo tungepanda hata daladala. Sasa,unapiga hesabu,ukisubili daladala,Boss atakutimua. Na huo mwendo kasi,ni yale yale
 
Kumekuwa na tabia ya hovyo sana inayofanywa na madereva pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa mabasi ya Mwendokasi, hasa katika vituo vikuu vya Kivukoni na Gerezani nyakati za jioni ambapo foleni ya watu inakuwa ni ndefu, lakini baadhi ya madereva hubakiza/kuingiza baadhi ya rafiki, ndugu na jamaa zao ndani ya mabasi nje ya utaratibu hata pale walipotakiwa kushuka ili wapange foleni na kukaguliwa tiketi (Kwa wanaoenda Mbezi),na kupanga foleni kama utaratibu ulivyo.

Unakuta gari kabla haijapakia abiria walio kwenye mstari tena kwa muda mrefu,tayari ina abiria 8 hadi 10 walio ndani ya gari na hawajakaguliwa tiketi.

Katika hali nyingine ya kushangaza na ya kibaguzi,ni kwamba baadhi ya watumishi katika vituo vya mabasi haya huwapitisha ndugu,jamaa,na marafiki zao kupandia gari ndani kupitia mlango wa kushoto ambao ni maksusi kushusha tu,na wanaopanda kwa utaratibu wa foleni hutumia mlango wa kulia.

Vitendo hivi vinaondoa usawa na kuleta ubaguzi kwa wasio na ndugu wanaofanya kazi UDART,kwani wanakaa kwenye foleni muda mrefu,lakini kuna watu wanafika na kuondoka ndani ya muda mchache tena wakiwawamekaa kwenye seat.

View attachment 2881446View attachment 2881447View attachment 2881448View attachment 2881449
Zile camera zina kazi gani mle kama hazitumiki kufanya monitoring
 
Imagine kauli kama hii! Kesho utapata wapi uthubutu wa kukemea uovu na ufisadi wa viongozi wetu?
 
acha kupanic kwa mambo madogo madogo kama hivi haya mambo yapo katika taasisi zote hospital, TRA, Bandarini, Mashuleni. I bet hata wewe ungekuwa na nafasi sehemu huwezi acha damu tako iteseke.

siungi mkono lakini
Pumbavu .nenda ufanye kwenye nchi zilizostaarabika uone .kama jamii tunahitaji kusonga mbele si kurudi nyuma huo upumbavu utaukuta kwenye mijitu ya huko Kwa wachimba chumvi . Uingereza dereva akifanya hivyo raia wanapiga simu hapo hapo polisi
 
sio ivo wewe embu assume kama wewe ndio dereva wa mwendokasi ....acha kujifanya kondoo wakati umevaa ngozi ya chui wewe
Kwanini usitengeneze taasisi yako ili ndugu zako wapate huduma bure?
Africa kuwa na maendeleo tutayasikia tu na hii ni kwasababu ya ujinga na umasikini uliokithiri.
Unatetea ndugu zako wapande basi bure kwani huo ni usafiri wako?
Hela inayopatikana hapo itatumika katika maendeleo ya nchi na kununua mabasi mengine mapya ili kurahisisha usafiri.
 
acha kupanic kwa mambo madogo madogo kama hivi haya mambo yapo katika taasisi zote hospital, TRA, Bandarini, Mashuleni. I bet hata wewe ungekuwa na nafasi sehemu huwezi acha damu tako iteseke.

siungi mkono lakini
Upuuzi mtupu umeandika
 
Pumbavu .nenda ufanye kwenye nchi zilizostaarabika uone .kama jamii tunahitaji kusonga mbele si kurudi nyuma huo upumbavu utaukuta kwenye mijitu ya huko Kwa wachimba chumvi . Uingereza dereva akifanya hivyo raia wanapiga simu hapo hapo polisi
huyo mtoa mada ilitakiwa apige simu alipoona hilo tukio bahati mbaya kaja kupost JF
 
Kumekuwa na tabia ya hovyo sana inayofanywa na madereva pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa mabasi ya Mwendokasi, hasa katika vituo vikuu vya Kivukoni na Gerezani nyakati za jioni ambapo foleni ya watu inakuwa ni ndefu, lakini baadhi ya madereva hubakiza/kuingiza baadhi ya rafiki, ndugu na jamaa zao ndani ya mabasi nje ya utaratibu hata pale walipotakiwa kushuka ili wapange foleni na kukaguliwa tiketi (Kwa wanaoenda Mbezi),na kupanga foleni kama utaratibu ulivyo.

Unakuta gari kabla haijapakia abiria walio kwenye mstari tena kwa muda mrefu,tayari ina abiria 8 hadi 10 walio ndani ya gari na hawajakaguliwa tiketi.

Katika hali nyingine ya kushangaza na ya kibaguzi,ni kwamba baadhi ya watumishi katika vituo vya mabasi haya huwapitisha ndugu,jamaa,na marafiki zao kupandia gari ndani kupitia mlango wa kushoto ambao ni maksusi kushusha tu,na wanaopanda kwa utaratibu wa foleni hutumia mlango wa kulia.

Vitendo hivi vinaondoa usawa na kuleta ubaguzi kwa wasio na ndugu wanaofanya kazi UDART,kwani wanakaa kwenye foleni muda mrefu,lakini kuna watu wanafika na kuondoka ndani ya muda mchache tena wakiwawamekaa kwenye seat.

View attachment 2881446View attachment 2881447View attachment 2881448View attachment 2881449
Serikali ilivyo na akili zake zisizojulikana, muda mfupi ujao utaona vibao vya kukataza kupiga picha vituo vya mwendokasi vimebandikwa.

Mashine za kukagua ticket hazijaharibika lakini zimesimamishwa mwaka wa 6 huu.

Nchi imejaa walaanifu hii kha
 
Sijaona sababu ya kukufanya ulalamike!! Mimi mwenyewe usafiri naotumia ni mwendokasi ila kwasasa nimeacha kwasababu nimeona ni upumbavu. natafuta pesa kwa nguvu na akili yang alafu niendelee kuteseka na folen ya gerezani!! Me naishi kimara nimeachana na hagar za mwendokasi .

Usipende kulalamika tu hata ungekua ww ndugu au marafiki hutopenda wateseke labda kama unable roho mbaya
 
Back
Top Bottom