dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Uoga huo, speed 60 ndogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo najua ulifika salama, hongera kwa kununua gari, naona una ugeni na safari ndefu kwa hiyo 60kph.Naomba msaada kwa wenye maarifa ya kikokotoo hiki. Nina Safari ya kwenda Mbeya kwa usafiri wa gari langu.
Ninachotaka kujua je kwa speed ya 60 nitatumia masaa mangapi kufika Mbeya? Maana kwakweli sio mpenzi wa kutembea na gari kwa speed kubwa.
Kwa mwenye uelewa naomba msaada. Au kwa speed hiyo ya 60 naweza nikatembea kilometa ngapi kwa saa? Msaada ndugu zangu ikizingatiwa napita njia ya Iringa natokea Mwanza via Iringa mpaka Mbeya. Kutoka Mwanza mpaka Mbeya via Iringa ni kilometa 1350.