Mwendokasi wa 60 KPH nitatumia saa ngapi kutoka Mwanza mpaka Mbeya?

Piga 160, kufa kufa tu. unaweza utatembea taratibu wenzako wakaja wakakugonga.
 
Japo najua ulifika salama, hongera kwa kununua gari, naona una ugeni na safari ndefu kwa hiyo 60kph.

Ila hesabu ndugu yangu, ulikua uzipendi kabisa.

Speed ikiwa 60kph, ni 60km per hour, ina maana kwenye kila 60km unatumia saa moja, so uwezi sema 60kph huku unauliza tena nitatumia masaa mangapi kwenye 60km..

Mbeya wanasemaje mkuu, misambwanda ipo?
 
kiuhalisia utatumia 33.75 hours, nikiwa na maana real average speed yako itakuwa 40km/hr. sija-consider muda wa kula, easing yourself, na kama utapumzika kulala sehemu
 
Siku nyingine unaondoka mza unaenda lala dodoma tena unafika mapema tu,kesho yake unaanza safari kwenda mbeya unafika mapema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…