A
Kasi ya technology ipo chini sana hio ilibidi watu wawe wanafanya booking kabla gari iwe inatoka full kutoka sehemu A kwenda sehemu B vinginevyo bila kusimama mtakua mnasafiri abiria 2 au 3 tuSasa kero yangu ni kwamba kitu cha kwanza tunakaa mda mrefu kituoni Mbezi magari yanachelewa cha pili wanasimama ovyovyo njiani wakati tumeaminishwa kuwa halisimami popote mpaka Fire yaani ni VIP, sasa hatuoni hata faida ya hiyo nauli kubwa tunayolipa.
Kibibi kafeli kila sehemu.Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha kwanza ni Fire nauli yake ni elfu 2 (2000/=).
Soma Pia: Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi
Sasa kero yangu ni kwamba kitu cha kwanza tunakaa mda mrefu kituoni Mbezi magari yanachelewa cha pili wanasimama ovyovyo njiani wakati tumeaminishwa kuwa halisimami popote mpaka Fire yaani ni VIP, sasa hatuoni hata faida ya hiyo nauli kubwa tunayolipa.
Buku mkuuNauli ya kawaida bei gani?
Dah kulipa 2000 ni utapeliBuku mkuu
Unakula na AC safiiπ
Mi Nilijua hiyo VIP labda unapata sitiDah kulipa 2000 ni utapeli
πππNa wewe ukaamini kuwa kutakuwa na VIP
Kibongo bongo, luxury n uwepo wa choo π sasa mm Naweza kusafiri kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari na nisitoke kwenye siti Hata kwenda kula.Ukitaka kujua tz hamna vip angalia mabasi yameandikwa luxury coach
Ukingia ndani unakuta ya kawaida tu
Hasa nauli ni elfu 2 alafu wanaita ni VIP. π€ ππ€ πNimeipenda hiiπ€£π€£
Ndio maana wanashusha hovyo njiani,walau ianze 10,000Hasa nauli ni elfu 2 alafu wanaita ni VIP. π€ ππ€ π
Bongo vituko haviishi
ππππNa wewe ukaamini kuwa kutakuwa na VIP