HOJA Mwendokasi wameleta nauli ya ki-VIP lakini unakaa muda mrefu kusubiri gari kituoni, inapoteza maana ya VIP

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Waende kujifunza kwa wenzao wa Sgr, namna ya kutunza muda.

Waache kufanya kazi ya usafirishaji kwa mazoea. Watu wapo mbele ya muda
Mambo ya kizamani ya kukaa kituoni masaa mawili ni upuuzi
 
Wasishue watu njiani, wale wa njiani watanyoka hawatayapanda... Watapanda wale wa mwanzo mwisho tu...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…