demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #21
Hamna Mkuu!Hatushauriwi wala hatupewi miongozo au nini cha kufanya na watu wanafiki kama wewe..
Hivo yaani.
Inabidi tushirikiane kuinua soka la bongo....sasa kama simba sc haifanyi vizuri , na soka la bongo litashindwa kufanya vizuri na mwishowe soka la bongo litakufa?
si unajua kuwa simba ndio roho ya sika la bongo....?
Azam na Yanga ni Makwapa!