Mwenendo mbaya wa Matokeo ya Simba SC. Je, nini kifanyike kuinusuru irudi kwenye makali yake?

Mwenendo mbaya wa Matokeo ya Simba SC. Je, nini kifanyike kuinusuru irudi kwenye makali yake?

Hatushauriwi wala hatupewi miongozo au nini cha kufanya na watu wanafiki kama wewe..

Hivo yaani.
Hamna Mkuu!

Inabidi tushirikiane kuinua soka la bongo....sasa kama simba sc haifanyi vizuri , na soka la bongo litashindwa kufanya vizuri na mwishowe soka la bongo litakufa?

si unajua kuwa simba ndio roho ya sika la bongo....?

Azam na Yanga ni Makwapa!
 
Tatizo kona siku hizi hazipatikani ili Kichuya apige ziingie moja kwa moja
Ile inaitwa 'NGEKEWA' au ''LUCKY" kwa kimombo, na wengine huita '''BAHATI'....

ni kitu kinachotokea Once in a lifetime.Kama ilivvyomtokea ""Singano Messi"" alivyopata bao kama lile la KICHura dhidi ya JKT Oljoro.....

lol
 
2e4fa40ad78c3a1fca63f3ceba0c6f95.jpg
d96465339c067ea77a9a46d81a2aac6e.jpg
0d501b4006d4be67400a5e0bd5fcd515.jpg
 
Azam si timu bora kulikozote ila nitimu inayozisumbua SimbanaYanga. Kwa timu nyingine Azam niyakawaida sana.
 
Kufungwa kawaida sana ila uache UNAFKI.Kila siku unatuandama kama nini.
 
Wewe mleta mada punguza unywaji wa matap tap ligi bado mbichi kuongoza kwa point moja kelele subiri ligi iishe uongee acha shombo za kijinga kwan wewe Azam si kakutoboa vinne!??
 
Sisi wana yanga tunapiga romance kwanza baadae ndio tunafika kilelleni .wao wanawahi KUFIKISHW kilelleni then wanapiga romance
 
Wewe mleta mada punguza unywaji wa matap tap ligi bado mbichi kuongoza kwa point moja kelele subiri ligi iishe uongee acha shombo za kijinga kwan wewe Azam si kakutoboa vinne!??
hahaha mbumbumbu kapanik.
 
Wewe mleta mada punguza unywaji wa matap tap ligi bado mbichi kuongoza kwa point moja kelele subiri ligi iishe uongee acha shombo za kijinga kwan wewe Azam si kakutoboa vinne!??

duh mapovuya nini sasa?🙂
 
Waswahili waje wajibu maana mpira kwa ni maisha, ndio maana mpira wa Tanzania haukui kama vile maisha ya waswahili yalivyo pangupakavu.
 
Back
Top Bottom