Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akapimwe mkojo na machozi
Na Lazima ana PhD ya Dar
Anza kwanza uchambuzi wa maoni yako mtoa mada.
Ni njaa tu Tumsamehe.
Kikubwa nilichokiona mm ni kwa namna gani watanzania tuliowengi tuna uwezo mdogo wa kufikiri.Anza kwanza uchambuzi wa maoni yako mtoa mada.
Kutuacha tujadili wanajamvi halafu wewe upo pembeni unatuzoom ni sawa na kutupia mbwa marapu rapu kisha ukajiweka pembeni kufurahia wanavyoyafakamia.
Hapo tumekwenda pamoja.Kikubwa nilichokiona mm ni kwa namna gani watanzania tuliowengi tuna uwezo mdogo wa kufikiri.
Mana katika hali ya kawaida,kwa binadamu anaejielewa hata kama ana mapenzi na chama hawezi kufikia stage ya kuongea maneno hayo.
Isitoshe inaonekana kama ni kiongozi wa kidini,hata hao waumini wake wanamshangaa.