Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
hiyo ni dhana tu miongoni mwa baadhi ya raia,Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Saipulan Ramsey amesema uchawa ni jambo ambalo linaharibu taifa, hivyo viongozi wajifunze kuwa na watu wanaojitambua.
hiyo ni dhana tu miongoni mwa baadhi ya raia,
na kwa maoni yangu,
unyumbu, uchawa au ufuata mkumbo ni dhana tu ambazo kitaaluma hazina athari zozote zile kisiasa, kijamii na hata kiuchumi. Ni vizuri zikapuuzwa tu π
Ajiandae kutekwa, na kupotezwa na kundi la kina Lucas Mwashambwa na TlaatlaahKatibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Saipulan Ramsey amesema uchawa ni jambo ambalo linaharibu taifa, hivyo viongozi wajifunze kuwa na watu wanaojitambua.
Aanze kuaga ndugu zake na kuandika mirathi kabisa maana ndugu zake wa kijani hawata muacha salamaKatibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Saipulan Ramsey amesema uchawa ni jambo ambalo linaharibu taifa, hivyo viongozi wajifunze kuwa na watu wanaojitambua.
nonsense πAjiandae kutekwa, na kupotezwa na kundi la kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah
Prove it sirnonsense π
Mkuu wa machawa amekuja kukutetea uchawahiyo ni dhana tu miongoni mwa baadhi ya raia,
na kwa maoni yangu,
unyumbu, uchawa au ufuata mkumbo ni dhana tu ambazo kitaaluma hazina athari zozote zile kisiasa, kijamii na hata kiuchumi. Ni vizuri zikapuuzwa tu π
uwe nyumbu, mfuata mkumbo, lofa, chawa, nguchiro au kunguni,Mkuu wa machawa amekuja kukutetea uchawa
Najua hoja hii hata kama ingekukuta chooni unakata kuni lazima ungeacha na kutoka mkuku mkuku kuikoa matonge yako maana akiongezeka mwenezi mwingine akasema hivi utajikuta unaajiriwa na mwashambwa kukoroga tope la kupandikiza mpungahiyo ni dhana tu miongoni mwa baadhi ya raia,
na kwa maoni yangu,
unyumbu, uchawa au ufuata mkumbo ni dhana tu ambazo kitaaluma hazina athari zozote zile kisiasa, kijamii na hata kiuchumi. Ni vizuri zikapuuzwa tu π
CAG?Kama machawa wa Heche utawaeleza nini na UFISADI wa Tone kwa Tone?
jieleze bila mihemko wala kuweweseka na itapendeza zaidi gentleman πNajua hoja hii hata kama ingekukuta chooni unakata kuni lazima ungeacha na kutoka mkuku mkuku kuikoa matonge yako maana akiongezeka mwenezi mwingine akasema hivi utajikuta unaajiriwa na mwashambwa kukoroga tope la kupandikiza mpunga