Mwenezi CCM Arusha: Uchawa ni tatizo kwenye taifa. Ukosoaji unakuwa kama vile ni haramu

hiyo ni dhana tu miongoni mwa baadhi ya raia,
na kwa maoni yangu,
unyumbu, uchawa au ufuata mkumbo ni dhana tu ambazo kitaaluma hazina athari zozote zile kisiasa, kijamii na hata kiuchumi. Ni vizuri zikapuuzwa tu 🐒
Huyu jamaa kakulenga Wewe na Lukas mwashambwa 😀😀😀😀!
 
zingatia maelezo na itakusaidia sana gentleman kwasababu let's face the reality,

kwamba unyumbu, ufuata mkumbo, uchawa, unguchiro au ukunguni ni dhana potofu zisizo na athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi sawa na dhana potofu za kutukanana au kuporomosha matusi tu 🐒
 
Wewe na Mwashambwa,machawa😁😁😁!
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo yanayoweza kukwamisha maendeleo na hata kuliangamiza taifa

Akizungumza leo Julai 21, 2026, ofisini kwake jijini Arusha, amesema kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuwashambulia wanaohoji au kukosoa mambo mbalimbali, hususan kupitia mitandao ya kijamii, badala ya kujadili hoja zinazotolewa

"Sasa uchawa ni tatizo. Ni tatizo. Ndio maana nimesema, mtu anasema 'umepoa tajiri', 'ukifa huozi', anajenga ghorofa, ananunua gari. Hatusemi hivyo kwamba tuna wivu, lakini tunasema hivyo kwamba kuna vijana wengine wanakuangalia. Na nyinyi waandishi wa habari ndio vitu mnavyovipeleka sasa hivi vinakwenda viral. Yaani haiwezekani sasa hivi eti akitokea mtu akasema 'jamaa amemsifia fulani hapa', ndio mnaipeleka viral unakuta kwenye media zote inarushwa 'fulani amemsifia fulani'. Vijana wengine wanaona kumbe kuna hela rahisi inaweza ikapatikana kwa kusifia."

Huyu jamaa hivi hajui kwamba tukiPOST vitu vingine kama mauaji ya MO29 tunapotezwa?
 
angalia usije ukatekwa
 
Back
Top Bottom