Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Huyu jamaa kakulenga Wewe na Lukas mwashambwa ππππ!hiyo ni dhana tu miongoni mwa baadhi ya raia,
na kwa maoni yangu,
unyumbu, uchawa au ufuata mkumbo ni dhana tu ambazo kitaaluma hazina athari zozote zile kisiasa, kijamii na hata kiuchumi. Ni vizuri zikapuuzwa tu π
zingatia maelezo na itakusaidia sana gentleman kwasababu let's face the reality,Huyu jamaa kakulenga Wewe na Lukas mwashambwa ππππ!
Ni CCM!Mwanzilishi wa uchawa ni chama gani???
Ni nani ali-declear hadharani kwamba ana chawa wake??
Wewe na Mwashambwa,machawaπππ!zingatia maelezo na itakusaidia sana gentleman kwasababu let's face the reality,
kwamba unyumbu, ufuata mkumbo, uchawa, unguchiro au ukunguni ni dhana potofu zisizo na athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi sawa na dhana potofu za kutukanana au kuporomosha matusi tu π
umesahau kuporomosha tusi ili kukamilisha dhana hiyo potofu isiyo na athari zozote gentleman πWewe na Mwashambwa,machawaπππ!
Huyu jamaa hivi hajui kwamba tukiPOST vitu vingine kama mauaji ya MO29 tunapotezwa?Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo yanayoweza kukwamisha maendeleo na hata kuliangamiza taifa
Akizungumza leo Julai 21, 2026, ofisini kwake jijini Arusha, amesema kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuwashambulia wanaohoji au kukosoa mambo mbalimbali, hususan kupitia mitandao ya kijamii, badala ya kujadili hoja zinazotolewa
"Sasa uchawa ni tatizo. Ni tatizo. Ndio maana nimesema, mtu anasema 'umepoa tajiri', 'ukifa huozi', anajenga ghorofa, ananunua gari. Hatusemi hivyo kwamba tuna wivu, lakini tunasema hivyo kwamba kuna vijana wengine wanakuangalia. Na nyinyi waandishi wa habari ndio vitu mnavyovipeleka sasa hivi vinakwenda viral. Yaani haiwezekani sasa hivi eti akitokea mtu akasema 'jamaa amemsifia fulani hapa', ndio mnaipeleka viral unakuta kwenye media zote inarushwa 'fulani amemsifia fulani'. Vijana wengine wanaona kumbe kuna hela rahisi inaweza ikapatikana kwa kusifia."
angalia usije ukatekwaKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amesema utamaduni wa 'uchawa' na kuteteana bila kuzingatia ukweli ni miongoni mwa mambo yanayoweza kukwamisha maendeleo na hata kuliangamiza taifa