Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 😀😀
Inaelekea mabwanyenye wa GMS ndio wanapanga viongozi sasa. Safari hii sijui wameshawasikia wale waarabu wa gsm. Inaonekana kama mabwanyenye wengine na fisadi wapigaji hawakufurahi na uteuzi wa makonda hivyo kuagiza afukuzwe mara moja toka cheo chochote. Mama kumpa u RC wamekasirika hivyo kumzushia kesi mahakamani hata bila ya kuheshimi kwamba yeye ni RC mteule. Hakika nchi inashikwa na mafioso wa kila aina kwa kasi kubwa. Magufuli Rip.
 
Back
Top Bottom