Haya nayaona kuwa ni maigizo, halmashauri inajadili na kupitisha mteuliwa, lakini wakati wa kutengua hawaitwi kujadili wala kushirikishwa. Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali, lakini pia ni hadaa kwa wananchi.
Huyu huyu mwenye uwezo wa kutengua bila kushirikisha halmashauri na ateue tu bila usanii wa kuisumbua halmashauri
Huyu huyu mwenye uwezo wa kutengua bila kushirikisha halmashauri na ateue tu bila usanii wa kuisumbua halmashauri
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 😀😀