Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?
Watanzania wote tunajua kuwa Chama cha CCM ndio chama tawala na bila CCM imara nchi lazima iyumbe.

Watanzania wote bado tunaimani na Chama tawala hivyo tunaomba katibu muenezi awe imara ili aweze kikijenga chama na kuwaunganisha watanzania wote.

Kwa maoni yangu namuona Nape Nnauye anao uwezo mkubwa sana wa kushika nafasi hiyo na kuleta hamasa kubwa ndani na nje ya chama.
 
Unaposema Watanzania wote ulituhoji Saa ngapi zezeta wewe?

Nape ana mkataba na Jimbo lake, huko CCM mmejaa mazezeta kiasi kwamba wote kazi mnayoweza na uchawa Tu mpaka stoke waziri aje kuwa karibu wa Propaganda?

Mbona Stive Nyerere anawafaa Sana kwahiyo nafasi?

Hata hivyo ni zamu ya Wazanzibar, machogo tulieni Kwanza.
 
Namtazama Jokate kama mtu anayetosha na anayefaa kuwa Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Kwa sababu zifuatazo:

Kwanza, ni mtu aliyetulia kimaamuzi.

Pili, ana ushawishi wa kutosha kwenye jamii Kwa makundi yote.

Tatu, ana uwezo wa kuhamasisha makundi mbalimbali.

Nne, ameonesha uwezo wa juu pote alipokuwa na hata Sasa akiwa Katibu mkuu wa UWT.

Tano, ili kuleta uwiano wa kijinsia Kwa wajumbe wa sekretarieti ya CCM ni vema nafasi ya unaibu Katibu mkuu wa CCM au ukatibu wa NEC itikadi na uenezi akapewa mwanamke. Na hapa namuona Jokate.

Tafadhali NEC pitisheni jina la Jokate kwenye hiyo nafasi ,anafaa na anatosha.
 
Hayo ni maoni yako na mimi ya kwangu nasema hawezi kisa kuandaa lile tukio la wanawake na kusema kura wapigie wanawake sio wanaume ndio ushawishi mpaka hapo keshafeli!
 
Anachoweza yeye ni kuwakusanya hakina Shilole, Zuchu na kadhalika na kuwalipa mihela mingi.

Hakana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kuwa na vishabiki vitoto vya sekondari hata sijui CCM walifikiria nini kumpa nafasi kubwa UWT, mtu shallow kama Jokate.
 
Namtazama Jokate kama mtu anayetosha na anayefaa kuwa Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Kwa sababu zifuatazo:

Kwanza, ni mtu aliyetulia kimaamuzi.

Pili, ana ushawishi wa kutosha kwenye jamii Kwa makundi yote.

Tatu, ana uwezo wa kuhamasisha makundi mbalimbali.

Nne, ameonesha uwezo wa juu pote alipokuwa na hata Sasa akiwa Katibu mkuu wa UWT.

Tano, ili kuleta uwiano wa kijinsia Kwa wajumbe wa sekretarieti ya CCM ni vema nafasi ya unaibu Katibu mkuu wa CCM au ukatibu wa NEC itikadi na uenezi akapewa mwanamke. Na hapa namuona Jokate.

Tafadhali NEC pitisheni jina la Jokate kwenye hiyo nafasi ,anafaa na anatosha.
good idea,
well and good
🐒
 
Hayo ni maoni yako na mimi ya kwangu nasema hawezi kisa kuandaa lile tukio la wanawake na kusema kura wapigie wanawake sio wanaume ndio ushawishi mpaka hapo keshafeli!
Unataka Katibu mkuu wa UWT azungumzie masuala ya kina nani zaid ya wanawake wenzake?
 
Wakitaka kuona amna kitu palę wampe ziara waone kama anaweza jaza watu hata 1000 kwenye mkutano wake. Hakuna uwezo wowote wa ushawishi hoja zake not interesting zaidi kubebwa tu mpaka kalipofika.
 
Jokate ni mhamasishaji mzuri na anaweza kujaza uwanja wa Taifa
Public speaking skills zenyewe hana, nani wa kufunga safari kwenda kumsikiliza bila ya kujaziwa umati, hata hao CCM hawana ma lorry ya kujaza uwanja wa taifa.

Linapokuja swala la kujibizana na kina Lema wakitunga uongo wao huko ndio kabisa sidhani kama anaweza kwenda nao toe-to-toe kwenye hoja ata akiandikiwa majibu she is just not convincing.
 
Back
Top Bottom