Hii ndio habari inayotrend kwa sasa, makada kadhaa wa CCM wanasema kwa namna siasa za sasa zinavyokwenda bila kupata chawa mwenye wafuasi wengi mitandaoni na mwenye uwezo wa kujitoa ufahamu kumsifia mama Samia huku akiwananga watu wengine wote wenye mwelekeo tofauti na Mama Samia basi hali itaendelea kuwa mbaya na kila mara atatafutwa mtu wa kushika nafasi ya katibu mwenezi wa CCM taifa. Bila kupepesa macho, jina la Mwijaku ndio likapewa nafasi kubwa zaidi.
Hii ni zamu ya chawa kutafuna fursa za taifa kwa kilemba cha CCM.